Wahisani

Shukurani kubwa kwenu nyote wahisani wetu, msaada wenu ni wa muhimu sana kwetu.


-Salla Finlow-Bates, alitafsiri lugha 2012
-Kriste Oja, aliandaa jarida la Same Sun 2012
-Katika msimu wa kipupwe 2012 tulipokea nguo na vitu vingine kutoka wahisani binafsi. Vitu hivi vilipokelewa katika kituo cha Rau.
-Dawa za meno na miswaki kutoka Oulu opetusterveyskeskus, kipindi cha msimu wa kipupwe 2012
-Misaada mingi kutoka makampuni binafsi wakati wa sikukuu ya krismasi 2011
-TOOL Raahe ry walitoa Tsh 75,600/= kwa ajili ya mafunzo ya mwalimu na mahitaji ya shule
-Virpi Vainio Design, walitengeneza nembo ya Same Sun NGO
-Raahe Rotary Club, walitoa Tsh 75,600/= kwa ajili ya ununuzi wa vitabu
- Aarrearkku group home, walitoa Tsh 432,000/= kwa ajili ya gharama za jumla za uendeshaji kituo.
-Wahisani binafsi mbalimbali walitoa Tsh 186,000/= kwa ajili ya mishahara.

 

Je, unawiwa katika kusaidia kwa kutoa muda wako ama ujuzi wako?

Kwa taarifa zaidi kuhusu namna ya kusaidia, tafadhali wasiliana na mmoja wa wanachama wa bodi. Tunayo furaha sana kwa misaada ya aina yoyote. Hapa ni baadhi ya mifano kuhusu kile kinacho weza kununuliwa na viwango mbalimbali vya pesa:
-kilo 10 za nafaka, zinatosha watoto kumi kwa mwezi Tsh 8,600/=
-kilo 10 za maharage, zinatosha watoto kumi kwa mwezi Tsh 15,000/=
-chakula kwa mtoto mmoja kwa mwezi Tsh 21,600/=
-kilo 20 za maharage, zinatosha watoto ishirini kwa mwezi Tsh 32,000/=
-kilo 25 za mchele, zinatosha watoto kumi kwa mwezi Tsh 49,600/=
-kilo 50 za mchele, zinatosha watoto ishirini kwa mwezi Tsh 99,000/= Misaada inayotolewa hutumika pia kwa mahitaji mengine na shughuli za kuongeza ubora wa hali za watoto.