Namna ya kujiunga kuwa mwanachama

Je, ungependa kusaidia kazi yetu?


Kama unawiwa kuwa sehemu ya kazi yetu tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu ya majibu ama barua pepe.


Ada ya uanachama wa Same Sun ni Tsh 54,000/= kwa mwaka. Kwa kuwa mhisani kwa mwaka, utasaidia kazi yetu, na utapata kila kinachojiri kutoka kwetu mara mbili kwa mwaka.


Asante sana!